The State University Of Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu – Sayansi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Daniel E. Mushi, amewataka wakandarasi wanaoshughulikia ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuongeza kasi ya ujenzi kwa kuongeza idadi ya wafanyakazi na muda wa kazi, ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa. Akizungumza wakati wa ziara
Read More
Wakaguzi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Tanzania wameridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA). Hayo yalisemwa na wakaguzi hao wakati wakiwa katika kikao na Watendaji (PIU) wa Mradi huo kwa lengo la kukagua mendeleo ya mradi
Read More
Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) kimefikia asilimia 39 ya utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) katika ujenzi wa majengo ya Maabara na Skuli ya Kilimo, kutokana na tathmini hiyo Mkandarasi yupo ndani ya muda.
Read More
Ujenzi wa jengo la Skuli ya Kilimo (Agriculture Building) na la Maabara (Laboratory Complex) wa mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) umefikia asilimia 33 hadi mwezi huu wa tano. Taarifa hiyo imetolewa leo katika kikao cha tathmini ya ujenzi (Site Meeting) kimefanyika leo tarehe 28/05/2025 Makao makuu ya Chuo Tunguu. Aidha,
Read More