Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinaendelea kujivunia mafanikio ya wataalamu wake, ambapo mtangazaji wa kipindi cha β€œIfahamu Lugha Yako” kinachorushwa kupitia Radio Habari FM ya SUZA, ametunukiwa Tuzo ya Mtangazaji Chipukizi wa Vipindi vya Kiswahili Zanzibar. Tuzo hiyo imetolewa katika Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Duniani 2026 lililofanyika jijini Arusha, likiwakutanisha
Read More
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) imekikabidhi rasmi Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar (ZIToD) kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (WUMK), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo, Kaimu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga, amesema uamuzi
Read More
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia masuala ya Fedha, Mipango na Utawala, Prof. Salum Seif Salum, amekutana na ujumbe wa mradi wa RES4CLIMA wenye lengo la kuokoa upotevu wa mazao ya matunda na mbogamboga kwa wakulima wadogo kisiwani Pemba. Ujumbe huo ulijumuisha wataalamu sita kutoka vyuo vikuu vya
Read More
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBARP O BOX: 146, Zanzibar- TanzaniaPhone: +255 773333167Website: http://www.suza.ac.tzEmail: vc@suza.ac.tz Catalyst for Social Changes CALL FOR PROJECT TEAM MEMBERSSAMAKI Project – State University of Zanzibar (SUZA) The SAMAKI project at the State University of Zanzibar (SUZA) invites applications from two (2) qualified and motivated individuals to join the project team. The
Read More
The State University of Zanzibar (SUZA) has been strengthening its work in Digital Learning and Artificial Intelligence. From 26 to 28 January 2026, the Inter-University Council for East Africa (IUCEA) and UNESCO ICHEI organised the Phase 2 AI Advanced Training Module Development Workshop at Golden Tulip Westlands in Nairobi. The three-day event brought together experts
Read More
Project Title: Mapping Biomass and Carbon Stocks in the Mangrove Forests of Zanzibar to Support Blue Economy and Climate Change Mitigation and Adaptation BackgroundThe State University of Zanzibar (SUZA), in collaboration with Sokoine University of Agriculture (SUA) and the Ministry of Blue Economy, is implementing a 36-months Climate Change Research Programme funded by COSTECH. The project
Read More
The State University of Zanzibar (SUZA), through its School of Education, organized a public lecture on improving academic and research writing skills for postgraduate studies, with a special focus on students whose first language is not English. The lecture was delivered by Prof. Emmaculee Harushimana (Ms. Maua) from City University of New York (CUNY), USA.
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na kampuni ya Halotel wameendesha Bonaza la Michezo lililowashirikisha Wanafunzi wa kampasi za SUZA, Serikali ya wanafunzi SUZASO na wadau wa michezo Zanzibar. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Skuli ya Afya SUZA, Dkt. Salma Abdi Mahmoud, Afisa Michezo kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Read More
Watafiti, Wanafunzi na Wanachi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kusoma vitabu ili kuongeza fikra, historia, na kuweza kujifunza mbinu mbali mbali za kimaarifa. Wito huo huo umetolewa na Mwandishi mashuhuri wa vitabu visiwani Zanzibar na Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Jabir, wakati wa ufunguzi wa kitabu chake kipya cha Uchumi wa Mashamba wakati wa Ukoloni wa
Read More
1 … 6 7 8 9 10 … 23