The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa kushirikiana na kampuni ya Halotel wameendesha Bonaza la Michezo lililowashirikisha Wanafunzi wa kampasi za SUZA, Serikali ya wanafunzi SUZASO na wadau wa michezo Zanzibar. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Skuli ya Afya SUZA, Dkt. Salma Abdi Mahmoud, Afisa Michezo kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Read More
Watafiti, Wanafunzi na Wanachi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kusoma vitabu ili kuongeza fikra, historia, na kuweza kujifunza mbinu mbali mbali za kimaarifa. Wito huo huo umetolewa na Mwandishi mashuhuri wa vitabu visiwani Zanzibar na Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Jabir, wakati wa ufunguzi wa kitabu chake kipya cha Uchumi wa Mashamba wakati wa Ukoloni wa
Read More