Waziri wa Mambo ya nje wa Jamhuri ya Kuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Prof. Moh’d Makame Haji wakizindua kitabu cha kujifunza kihispania kwa Kiswahili toleo la kwanza katika kongamano la kimataifa la kiswahili Novemba 8, 2024 Havana nchini Kuba. Kitabu hicho kilichozinduliwa ni cha ChuoRead More
CHUO Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Kampuni ya Ujenzi ya Mohammed Builders Limited zimetiliana saini mkataba wa ujenzi wa majengo mawili ya Skuli ya Kilimo na Maabara unasimamiwa na Mpangosi. Tukio hilo lililofanyika tarehe (4/11/2024) katika ofisi za Makao makuu ya SUZA Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, limewashirikisha Makamu Mkuu waRead More
Deepening Educational and Cultural TiesState University of Zanzibar (SUZA) Vice Chancellor, Prof. Moh’d Makame Haji, led a high-level delegation to China to further strengthen educational and cultural ties between the two nations. The delegation included representatives from Zanzibar University, Leera School, and other key stakeholders from the public and private sectors. A primary focus ofRead More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Dk. Hashim Hamza Chande, amesema ushirikiano baina ya SUZA, Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) na Chuo Kikuu cha Cagliari cha Italia umekuja wakati muafaka hasa ikizingatiwa kuwa Chuo kinatarajia kutekeleza mradi wa upanuzi wake hivi karibuni. Akizungumza katika kikao cha pamoja cha maofisa wa ZAWA na wa Chuo cha Italia hapo makao makuu ya SUZA Tunguu Wilaya yaRead More
MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof. Moh’d Makame Haji amezindua mfumo mpya wa masomo ya kimtandao ‘Myloft – My Library of Finger Print’ ambao utasaidia upatikanaji wa taarifa za kimasomo kwa njia rahisi. Alisema mfumo huo utachangia kuwawezesha wanafunzi na wafanyakazi kufanya kazi zao hasa ikizingatiwa kuwa kumekuwa na ongezeko la wanafunziRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea mtaalamu atakayefundisha elimu ya sayansi ya michezo kwa ajili ya kuimarisha sekta hiyo katika Chuo hicho. Akizungumza na mtaalamu huyo, Yutaka Ide anatokea Hiroshima nchini Japani, mazungumzo yaliyofanyika makao makuu ya SUZA Tunguu mkoa wa Kusini Unguja, Makamo Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Moh’d Makame Haji alisemaRead More
Call for One PhD Scholarship position on marine coastal ecosystem restoration (seagrasses) using integrated approach under the Building Stronger Universities Project (BSU-IV) at The State University of Zanzibar Re-advertised Project Outline The Danish Ministry of Foreign Affairs has granted full support to the fourth phase of the BuildingStronger Universities project (BSU-IV) at the State UniversityRead More
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Ali Suleiman ametoa wito kwa vijana kutumia fursa zinazowekwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili waweze kuzalisha mazao na kukuza ufugaji nchini.Aliyasema hayo katika ufunguzi wa maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba huko Chamanangwe aliyahimiza mabaraza ya vijana kutumiwa kwa tija ili yaweRead More