Jumla ya walimu kumi na sita (16) kutoka Shule ya Sekondari Igunga, iliyopo Mkoa wa Tabora, Tanzania Bara, wametembelea Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar – SUZA, ikiwa ni sehemu ya juhudi za chuo hicho kujitangaza na kuongeza idadi ya wanafunzi kutoka Tanzania Bara na nje ya nchi. Ziara hii ni matokeo ya kampeni zaRead More