Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji, ametoa wito kwa wataalamu wa ndani kujenga imani binafsi na kutumia maarifa yao kwa tija, akisisitiza kuwa ujasiri wa kitaaluma ni msingi wa maendeleo endelevu ya taifa. Akizungumza katika warsha ya Maendeleo ya Maabara ya Usanifu wa Vinasaba iliyofanyika katika SkuliRead More