The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia wanafunzi wake wanawapatia elimu ya Kilimo wanavijiji wanaowazunguka kwa lengo la kuimarisha sekta hiyo na kukabiliana na changamoto zinazowakabili. Hayo yalisemwa na Bwana Ali Moh’d Ali ambaye ni mkufunzi wa Skuli ya Kilimo SUZA akiwa katika viwanja vya Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Kizimbani,
Read More
Akizungumza katika mkutano na viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu katika ukumbi wa mikutano Tunguu amesema kuwa, vijana Wana Kila sababu ya kuendeleza falsafa zilizoachwa na waasisi ikiwemo ukombozi wa watu na jitihada za kuleta maendeleo. Amesema kuwa lengo la mkutano huo ni kutoa taarifa kuhusu kongamano la Kigoda cha Taaluma
Read More
Mke wa Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Maryam Mwinyi leo amezindua maonesho ya Vijana ya Biashara na Uwekezaji katika viwanja vya makao makuu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA, Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. Maonesho hayo yalifanyika tarehe 10/08/2025 huandaliwa mahususi kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana
Read More