The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinapanga kuanzisha taasisi ya ubaharia kama sehemu ya juhudi zake za kupanua mafunzo ya kiufundi na kitaaluma visiwani Zanzibar. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Moh’d Makame Haji, alipokutana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Tri Yogo Jatmiko, katika makao makuu ya Tunguu mapema
Read More