The State University Of Zanzibar

Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la UNDP kuhusiana kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya taasisi hizo. Mazungumzo hayo ambayo pia yaliwashirikisha watendaji wa UNDP yalifanyika leo 23/09/2024 katika Ofisi za makao makuu SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, ambapo
Read More
Waziri wa Waziri wa Nchi (OR) Katiba, Sheria na Utumishi wa na Utawala Bora, Mwalim Haroun Ali Suleiman, ametoa wito kwa Taasisi za Elimu za Zanzibar kufanya tafiti nyingi zenye matokeo yatakayoleta mabadiliko kwa maendeleo ya jamii. Akifungua Kongamano la Kitaaluma la kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Malipo Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa
Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja, Mhe. Haroun
Read More
WAZIRI wa Nchi Afisi ya  Rais  Kazi, Uchumi na Uwekezaji,  Mhe. Sharif Ali Sharif ametoa wito kwa Taasisi za Elimu Zanzibar kuendeleza vipaji vya wanafunzi kuanzia maandalizi  hadi sekondari. Alisema hatua hiyo itachangia kuwawezesha kuwa mahiri  na wabunifu katika fani mbalimbali kulingana na mazingira  wanayotokea. Akizungumza  katika sherehe ya maadhimisho  ya miaka 60 ya     Elimu
Read More
Maafisa Wakutubi kutoka Chuo Kikuu Cha Taifa cha Zanzibar wakitoa maelezo kwa washiriki walohudhuria Maadhimisho ya siku ya Kujua kusoma na kuandika yaliyofanyika tarhe 7-8 Septemba 2024 katika Ukumbi wa Idris Abdulwaki
Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial cha Uingereza
Read More
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa  itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu  kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi  wa semina ya siku  tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo ya  Kuondoa
Read More
1 6 7 8 9 10 11