SUZA imeonesha utayari wake wa kuendeleza ushirikiano wa karibu na Chuo Kikuu cha SAN cha Poland, ikiwa ni pamoja na kukiomba Chuo Kikuu cha SAN kafungua tawi lake SUZA, kutoa fursa za kuwajengea uwezo wanataaluma katika mafuala ya tafiti na kubadilishana uzoefu katika ufundishaji. Hatua hii inalenga kuimarisha mahusiano ya kielimu kati ya vyuo hivyoRead More