The State University Of Zanzibar

Wakaguzi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Tanzania wameridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA). Hayo yalisemwa na wakaguzi hao wakati wakiwa katika kikao na Watendaji (PIU) wa Mradi huo kwa lengo la kukagua mendeleo ya mradi
Read More