Zanzibar – In an inspiring move to deepen its connection with the local community, the State University of Zanzibar (SUZA) has urged stakeholders to actively engage in its transformative Building Stronger University (BSU4) project. During a dynamic stakeholder meeting at Golden Tulip Airport Hotel in Kiembe Samaki, SUZA’s Vice Chancellor, Prof. Moh’d Makame Haji, highlightedRead More
Wananchi kadhaa waliotembelea banda la maonesho ya Chakula yanayoendelea huko Chamanangwe mkoa wa Kusini Pemba wamevutiwa na utaalamu uliobuniwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa zanzibar (SUZA). Miongoni mwa jambo lililowavutia wengi na kuwa watulivu kupokea maelezo kutoka kwa mtaalamu aliyebuni teknolojia hiyo Khamis Said Moh’d, mwanafunzi aliyemaliza Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia yaRead More
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la UNDP kuhusiana kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya taasisi hizo. Mazungumzo hayo ambayo pia yaliwashirikisha watendaji wa UNDP yalifanyika leo 23/09/2024 katika Ofisi za makao makuu SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, ambapoRead More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja, Mhe. HarounRead More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial cha UingerezaRead More
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi wa semina ya siku tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo ya KuondoaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya kwanza kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa programu mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katikaRead More