Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dk. Hussein Mwinyi amevutiwa na ongezeko la wahitimu wanawake ambao wanaendelea kuongezeka katika programu mbali mbali zinazotolewa katika Chuo hiki.Alisema katika mwaka wa masomo 2023/2024 wahitimu 2791 wametunukiwa Shahada mbalimbali ambao sawa ongezeko la asilimia 7.7 ikilinganishwa na idadi ya wahitimu 2101 wa mwaka jana.‘’Nimefarijika kuonaRead More
Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Hamad Hassan Chande amezindua mfumo wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) utakaokuwa na taarifa zao kuanzia mwaka 2002.Mhe.Chande ambaye ni msajiliwa namba moja wa mfumo huo, alifyatua kitufe kuashiria uzinduzi huo na taarifa zake kuonekana.Akitoa maelezo yanayohusu mfumoRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amesema analishukuru Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuwashirikisha kuwa sehemu ya kuchangia andiko la kuanzishwa kwa Kituo kikubwa cha Tafiti cha Jeshi hili.Hayo aliyasema katika makao makuu ya SUZA huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja wakati akizungumza na ujumbe waRead More
Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Hamad Hassan Chande ameonya tafiti zinazofanywa na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kufungiwa makabatini.Hayo aliyasema wakati akifungua kilele cha Wiki ya Juma la Convocation kilichofanyika katika ukumbi ya Taasisi ya Utalii, kampasi ya Chuo Kikuu Maruhubi tarehe 22/12/2024.Alisema iwapoRead More
Mwenyekiti wa Kamati ya Mkusanyiko Kitaalamu (Convocation) Mhe. Riziki Juma Pembe amezindua rasmi Kamati za Mkusanyiko huo zilizowashirikisha wajumbe 14 ambapo mwengine anatarajiwa kutajwa hivi karibuni.Akizungumza katika mkutano huo wa pili wa mwaka wa Mkusanyiko huo uliofanyika katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) ya Taasisi ya Utalii, Maruhubi tarehe 22/12/2024 alizitaja Kamati hizoRead More
Hhini ya Mradii wa Youth Ignit unaosimamiwa na Starthub African unaofadhiliwa wa UNDP ambalo limeshirikisha vyuo 10 nchini Tanzania ikishirikisha jumla ya wanafunzi 30. Mshindi wa kwanza ni mwanafunzi William Frank kutoka Skuli ya Kompyuta Mawasiliano na Masomo ya Habari akiwa na wazo la Kibenki Fintech inayosaidia wafanyakazi wa hali ya chini kupata sehemu yaRead More
Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeambatana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika ziara maalum iliyofanywa leo tarehe 18 Novemba, 2024 katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilichopo Mkoa wa Mbeya, ili kujifunza kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET). Ziara hiiRead More
The State University of Zanzibar (SUZA) met with a delegation from the International Union for Conservation of Nature (IUCN) and the OCP Foundation to discuss how they can collaborate in areas of mutual interest that they are working on. The institutions met on November 14, 2024, at SUZA’s headquarters in Tunguu, South Unguja, where theyRead More
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefanyika katika mji wa Havana, nchini Kuba, tarehe 8 na 9 Novemba, 2024. Kongamano hili limehusisha wataalamu na wadau wa Kiswahili kutoka Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na wenyeji wa Kuba. Jopo kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) likiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Moh’d MakameRead More