The State University Of Zanzibar

Salamu za Rambirambi kwa Familia ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Baraza la Chuo, Menejimenti na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wanatoa salamu za Rambirambi kwa Familia ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kufuatia msiba wa kaka yake Marehemu Abbas Ali Mwinyi uliotokea September 25, mwaka huu.

Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinaungana na Familia ya Marehemu, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Watanzania kwa ujumla kuomboleza kifo cha Marehemu Rubani Abbas Ali Mwinyi. Kabla ya kido Chake Rubani Abass Ali Mwinyi alikua Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Fuoni kwa tiketi ya CCM.

Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinatoa Program za Afya, Utalii, Kilimo, Ujasiriamali, Masuala ya Fedha na Benki, Ualimu, TEHAMA, Utafiti na Ushauri Elekezi.

Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake tutarejea

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi
Ameen.