The State University Of Zanzibar

Katika juhudi za kukuza maarifa ya tabia nchi miongoni mwa vijana, Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa mashirikiano na African Institute for Mathematical Sciencies (AIMS), leo kimeandaa mafunzo maalum ya siku moja kwa wanafunzi wa sekondari, yaliyofanyika katika ukumbi wa SUZA, KAmpasi ya Vuga. Mafunzo hayo yaliyozikutanisha skuli nne kutoka Unguja. Akifungua rasmi
Read More