Naibu Katibu Mkuu – Sayansi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Daniel E. Mushi, amewataka wakandarasi wanaoshughulikia ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuongeza kasi ya ujenzi kwa kuongeza idadi ya wafanyakazi na muda wa kazi, ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa. Akizungumza wakati wa ziaraRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeendelea kuimarisha uhusiano wa kimataifa kupitia mikataba na mashirikiano na taasisi mbalimbali za elimu ya juu kutoka ndani na nje ya nchi, kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa kitaaluma na kukuza ubora wa elimu inayotolewa. Akizungumza wakati wa ziara ya ujumbe kutoka Virginia Commonwealth University – School ofRead More
Baraza la Chuo, Menejimenti na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wanatoa salamu za Rambirambi kwa Familia ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kufuatia msiba wa kaka yake Marehemu Abbas Ali Mwinyi uliotokea September 25, mwaka huu. Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) kinaungana naRead More