Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wanafunzi wapya waliojiunga na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kutumia ipasavyo rasilimali zinazopatikana chuoni ili kuimarisha ufaulu wao wa kitaaluma, ujifunzaji na utafiti. Prof. Vuai ameyasema hayo wakati wa Wiki ya Ukaribisho kwa Wanafunzi Wapya wa SUZA,Read More
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu Zanzibar kutambua wajibu wao katika kulinda maadili, kuheshimu utu wa wengine na kutokuvumilia vitendo vya ukatili wa kijinsia, akisisitiza kuwa masuala ya udhalilishaji hayana nafasi katika taasisi za elimu ya juu. Akizungumza katika kuhusu kuwajengea uelewaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea rasmi majengo mawili ya kisasa ya maabara za sayansi na Skuli ya Kilimo katika Makao Makuu ya Chuo, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, kupitia hafla ya makabidhiano ya kazi za ujenzi iliyofanyika tarehe 20 Oktoba 2026, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya JuuRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wahudumu wa afya ngazi ya jamii nchini kuongeza bidii na uadilifu katika utendaji wao, kuifahamu vyema jamii wanayoihudumia na kujiendeleza kitaaluma ili kuboresha afya za wananchi. Prof. Vuai ametoa wito huo wakati wa mahafali ya pili ya Wahudumu waRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amesema wafanyakazi wa Chuo hicho waliotangulia mbele ya haki wana mchango mkubwa katika maendeleo ya taasisi hiyo na sekta ya elimu nchini, hivyo ni muhimu kuendelea kuwaenzi na kukumbuka utumishi wao. Prof. Vuai ameyasema hayo wakati wa dua maalumu yaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimewaaga rasmi wajumbe wa Baraza la Nane na kuwakaribisha wajumbe wapya wa Baraza la Tisa katika hafla iliyofanyika tarehe 10 Oktoba 2026, Makao Makuu ya chuo hicho, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja. Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Muhammed Mussa,Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, ameungana na wafanyakazi wa Chuo hicho katika kuadhimisha kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja, kilichofanyika tarehe 9 Oktoba 2026. Katika maadhimisho hayo, Prof. Vuai alishiriki katika hafla ya kukata na kuwalisha keki wafanyakazi mbalimbali wa SUZA, akiwemo Prof. AbdiRead More