Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimewaaga rasmi wajumbe wa Baraza la Nane na kuwakaribisha wajumbe wapya wa Baraza la Tisa katika hafla iliyofanyika tarehe 10 Oktoba 2026, Makao Makuu ya chuo hicho, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja. Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Muhammed Mussa,
Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, ameungana na wafanyakazi wa Chuo hicho katika kuadhimisha kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja, kilichofanyika tarehe 9 Oktoba 2026. Katika maadhimisho hayo, Prof. Vuai alishiriki katika hafla ya kukata na kuwalisha keki wafanyakazi mbalimbali wa SUZA, akiwemo Prof. Abdi
Read More