Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea rasmi majengo mawili ya kisasa ya maabara za sayansi na Skuli ya Kilimo katika Makao Makuu ya Chuo, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, kupitia hafla ya makabidhiano ya kazi za ujenzi iliyofanyika tarehe 20 Oktoba 2026, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya JuuRead More