Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wahudumu wa afya ngazi ya jamii nchini kuongeza bidii na uadilifu katika utendaji wao, kuifahamu vyema jamii wanayoihudumia na kujiendeleza kitaaluma ili kuboresha afya za wananchi. Prof. Vuai ametoa wito huo wakati wa mahafali ya pili ya Wahudumu waRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amesema wafanyakazi wa Chuo hicho waliotangulia mbele ya haki wana mchango mkubwa katika maendeleo ya taasisi hiyo na sekta ya elimu nchini, hivyo ni muhimu kuendelea kuwaenzi na kukumbuka utumishi wao. Prof. Vuai ameyasema hayo wakati wa dua maalumu yaRead More