THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA) VACANCY ANNOUNCEMENT RE-ADVERTISED POSITION: DEPUTY VICE-CHANCELLOR – PLANNING, FINANCE AND ADMINISTRATION The State University of Zanzibar (SUZA) is the only public university in Zanzibar, established under Act No. 8 of 1999 and subsequently amended by Act No. 11 of 2009, Act No. 7 of 2016, Act No. 1 ofRead More
Zaidi ya Shilingi Bilioni Tisa zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Bahari (Chuo cha Ubaharia) cha Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya elimu ya bahari na kuongeza idadi ya wataalamu wazalendo katika nyanja za ubaharia, usafiri wa majini, na uchumi wa buluu. Ujenzi wa chuoRead More
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar SUZA, Prof. Abdi Talib Abdalla amewasisitiza wanafunzi wa chuo hicho kuchgangamkia fursa ya kujifunza Lugha ya Kichina kutokana na kua na fursa nyingi zinazo patikana katika lugha hiyo Akizungumza kwa Niaba yake, Mkuu wa Skuli ya Elimu SUZA Dkt. Said Khamis Juma Wakati wa haflaRead More
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetiliana saini na kampuni ya Ms TIL Construction Limited mkataba wa ujenzi jengo la Taasisi ya Mafunzo ya Bahari ulioko chini ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) chini ya Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana Kujiajiri na Kuajirika Kupitia Uchumi wa Buluu (SEBEP). Ujenzi huo utajumuisha jengo yaRead More
Time ya Michezo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) imewasilisha nyumbani vikombe sita (6) na medali nane (8) kufuatia ushindi wa mashindano ya michezo iliyovishirikisha Vyuo Vikuu vya Tanzania (TUSA).Michezo iliyoshindaniwa ni WoodBall (mshindi wa kwanza wanaume na mshindi wa pili wanawake), Chess (mshindi wa kwanza wanawake), Scrabble (mshindi wa kwanza wanaume naRead More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa moja ya alama muhimu za maendeleo ya Taifa lolote ni ubora wa Elimu ya Juu yenye uwezo wa kuzalisha wataalamu wanaoweza kuhimili changamoto za Karne ya 21, hususan katika nyanja za sayansi na teknolojia. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayoRead More
CHUO Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) kimetoa mafunzo maalum ya Itifaki ya viongozi wa kitaifa ili kuimarisha uandaaji na uendeshaji wa Mahafali ya 21 yanayotarajia kufanyika tarehe 20 mwezi. Akitoa mafunzo hayo kwa Kamati ya Itifaki (Kamati ya ukaribishaji wageni) ya Mahafali ya 21 ya SUZA katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohammed Shein uliopoRead More
NAIBU Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia masuala ya Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Salum Seif Salum amesema ushirikiano na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) utachangia kuitangaza SUZA kitaaluma kimataifa. Hayo aliyasema katika mazungumzo yake kati ya ujumbe kutoka TCRA ambao unatoa mafunzo ya mawasiliano ya kimataifa (International Telecommunication Union-Read More
Ujumbe wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) ukiwa pamoja na watendaji na maofisa wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ukiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Khadija Salum Ali ukikagua miradi ya maendeleo inayotarajiwa kuwekwa jiwe la msingi katika kipindi cha shamrashamra za Mapinduzi ya Zanzibar mwezi JanuariRead More