The State University Of Zanzibar

Zaidi ya Shilingi Bilioni Tisa zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Bahari (Chuo cha Ubaharia) cha Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya elimu ya bahari na kuongeza idadi ya wataalamu wazalendo katika nyanja za ubaharia, usafiri wa majini, na uchumi wa buluu. Ujenzi wa chuo
Read More