The State University Of Zanzibar

Time ya Michezo ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) imewasilisha nyumbani vikombe sita (6) na medali nane (8) kufuatia ushindi wa mashindano ya michezo iliyovishirikisha Vyuo Vikuu vya Tanzania (TUSA).Michezo iliyoshindaniwa ni WoodBall (mshindi wa kwanza wanaume na mshindi wa pili wanawake), Chess (mshindi wa kwanza wanawake), Scrabble (mshindi wa kwanza wanaume na
Read More