The State University Of Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa moja ya alama muhimu za maendeleo ya Taifa lolote ni ubora wa Elimu ya Juu yenye uwezo wa kuzalisha wataalamu wanaoweza kuhimili changamoto za Karne ya 21, hususan katika nyanja za sayansi na teknolojia. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo
Read More