CHUO Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) kimetoa mafunzo maalum ya Itifaki ya viongozi wa kitaifa ili kuimarisha uandaaji na uendeshaji wa Mahafali ya 21 yanayotarajia kufanyika tarehe 20 mwezi. Akitoa mafunzo hayo kwa Kamati ya Itifaki (Kamati ya ukaribishaji wageni) ya Mahafali ya 21 ya SUZA katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohammed Shein uliopoRead More
NAIBU Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia masuala ya Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Salum Seif Salum amesema ushirikiano na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) utachangia kuitangaza SUZA kitaaluma kimataifa. Hayo aliyasema katika mazungumzo yake kati ya ujumbe kutoka TCRA ambao unatoa mafunzo ya mawasiliano ya kimataifa (International Telecommunication Union-Read More
Ujumbe wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) ukiwa pamoja na watendaji na maofisa wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ukiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Khadija Salum Ali ukikagua miradi ya maendeleo inayotarajiwa kuwekwa jiwe la msingi katika kipindi cha shamrashamra za Mapinduzi ya Zanzibar mwezi JanuariRead More