Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Tunguu, Zanzibar | 28 Agosti 2026 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeendelea kuimarisha uhusiano na wadau mbalimbali kwa lengo la kuongeza fursa za maendeleo kwa wanafunzi na wahitimu. Hatua hiyo imekuja kupitia mazungumzo kati ya uongozi wa SUZA na National Microfinance Bank (NMB), yaliyolenga kuimarisha na kupanua maeneo ya ushirikiano kati ya taasisi
Read More
SUZA NA MZUMBE ZAJADILI UTEKELEZAJI WA USHIRIKIANO WA KITAALUMA Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, kimekutana na viongozi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) kwa ajili ya kujadili na kuimarisha utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano wa kitaaluma baina ya taasisi hizo mbili. Kikao hicho
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia Kamati inayosimamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa dahalia za wanafunzi na mkahawa, kimefanya kikao cha 10 pamoja na Mkandarasi kutoka Kampuni ya M/S Emirates na Mshauri Elekezi kwa ajili ya kujadili maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo. Kikao hicho kilifanyika tarehe 27 Septemba 2026 katika eneo
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeendelea kuimarisha utamaduni wa utafiti na uzalishaji wa maarifa baada ya wanafunzi wa Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili kufanikisha mitihani ya utetezi wa tasnifu zao. Utetezi huo umefanyika Agosti 24, 2026, kupitia Kurugenzi ya Masomo ya Uzamili, Utafiti na Ushauri Elekezi ya SUZA, ambapo wanafunzi wamepata fursa ya
Read More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetoa shukrani kwa Kampuni ya Simu ya Mtandao wa Halotel kwa ufadhili wa Shilingi Milioni 26 uliowanufaisha wanafunzi 24 wa chuo hicho, katika zoezi la kutambua na kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kuwawezesha wanafunzi wenye uhitaji. Akizungumza katika hafla ya kutoa shukurani kwa kampuni hiyo Mkurugenzi wa
Read More
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) – Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib Abdalla, amesema SUZA imepata mafanikio makubwa katika utafiti, ubunifu, programu mpya za kitaaluma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Prof. Abdi Talib aliyasema hayo wakati akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri
Read More
Zanzibar, 14 August 2026 — PhD students under the Building Stronger Universities (BSU4) Programme today presented updates on the progress of their research work to their respective Work Package (WP) leaders at The State University of Zanzibar (SUZA) Main Campus. The progress presentation session was held in the BSU4 Room, bringing together PhD students and academic and project leaders to
Read More