The State University Of Zanzibar

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, Prof. Abdi Talib, ameshiriki kwenye warsha ya kujenga uelewa wa pamoja juu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia ya Kidijiti katika Elimu (20/2025- 2029/2030) na kupata fursa ya kushiriki mjadala wa utekelezaji wa mkakati huu.

Aidha, Dkt. Abdulrahim Ali, mmoja wa wataalamu waliotayarisha miongozo hiyo, aliwasilisha muongozo wa matumizi ya Teknolojia ya Kidijiti kwa Vyuo Vikuu.

Warsha hiyo ya kujenga uelewa wa pamoja juu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia ya Kidijiti katika Elimu (2024/2025–2029/2030)ilijadili mkakati mkuu pamoja na miongozo yake minne ambayo ni:

1.⁠ ⁠National Digital Education Guidelines for University
2.⁠ ⁠National Digital Education Guidelines for Schools and Teacher Colleges
3.⁠ ⁠National Digital Education Guidelines For Technical and Vocational Education and Training
4.⁠ ⁠National Guidelines for Artificial Intelligence in Education.