The State University Of Zanzibar

Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Salum Seif Salum amewahimiza waratibu wasimamizi wa vikao wa SUZA, kuleta mabadiliko yatakayo saidia kukuimarisho Chuo hicho. Amezungumza hayo wakati wa ufungaji wa Mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Abdi Talib Abdalla katika
Read More