Chuo Kikuu cha Osaka, Japani, kimefungua fursa mpya za kitaaluma kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kwa kusaidia wanafunzi na wataalamu wake kujiunga na taasisi mbalimbali za kimataifa zinazotoa programu za masomo ya Sayansi na lugha. Akizungumza katika kikao maalum cha tathmini ya utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano kati ya SUZA na ChuoRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinapanga kuanzisha taasisi ya ubaharia kama sehemu ya juhudi zake za kupanua mafunzo ya kiufundi na kitaaluma visiwani Zanzibar. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Moh’d Makame Haji, alipokutana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Tri Yogo Jatmiko, katika makao makuu ya Tunguu mapemaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia wanafunzi wake wanawapatia elimu ya Kilimo wanavijiji wanaowazunguka kwa lengo la kuimarisha sekta hiyo na kukabiliana na changamoto zinazowakabili. Hayo yalisemwa na Bwana Ali Moh’d Ali ambaye ni mkufunzi wa Skuli ya Kilimo SUZA akiwa katika viwanja vya Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Kizimbani,Read More
Akizungumza katika mkutano na viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu katika ukumbi wa mikutano Tunguu amesema kuwa, vijana Wana Kila sababu ya kuendeleza falsafa zilizoachwa na waasisi ikiwemo ukombozi wa watu na jitihada za kuleta maendeleo. Amesema kuwa lengo la mkutano huo ni kutoa taarifa kuhusu kongamano la Kigoda cha TaalumaRead More
Mke wa Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Maryam Mwinyi leo amezindua maonesho ya Vijana ya Biashara na Uwekezaji katika viwanja vya makao makuu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA, Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. Maonesho hayo yalifanyika tarehe 10/08/2025 huandaliwa mahususi kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijanaRead More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji, ametoa wito kwa wataalamu wa ndani kujenga imani binafsi na kutumia maarifa yao kwa tija, akisisitiza kuwa ujasiri wa kitaaluma ni msingi wa maendeleo endelevu ya taifa. Akizungumza katika warsha ya Maendeleo ya Maabara ya Usanifu wa Vinasaba iliyofanyika katika SkuliRead More
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wakagua maendeleo ya ujenzi wa ukuta wa Kampasi ya Benjamin William Mkapa iliyopo Mchangamdogo, Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba.Akikagua ujenzi huo Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Moh’d Makame Haji amesema lengo la ujenzi huo ni kuangalia maendeleo ya kazi ya ujenzi inayoendelea Prof. Haji amesisitiza kuwa ujenziRead More