Kaimu Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof Abdi Talib Abdlalla amefanya mazungumzo na ujumbe wa taasisi ya MashUbora ili kushirikiana katika kuimarisha utafiti wa kimatibabu kwa kanda ya Afrika Mashariki. Akizungumza na ujumbe huo ulioongozwa na Ndg. Sehlomola Mashatole ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo na Dkt. Salma AbdiRead More
Ujumbe wa taasisi ya MashUbora umekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji Ofisini kwake Mnazi Mmoja kwa lengo la kuanzisha ushirikiano na Wizara hiyo. Akitoa maelezo ya taasisi hiyo Mkurugenzi wa kanda ya Afrika Mashariki wa MashUbora ambaye pia ni Mkuu wa Skuli ya Afya na SayansiRead More
The State University of Zanzibar (SUZA) today hosted a delegation from the East African Kiswahili Commission (EAKC) to discuss a strategic collaboration aimed at creating regional employment pathways for talented Zanzibar youth. The discussions focused on a proposed initiative through which qualified SUZA graduates from various disciplines will be recruited and engaged as interns atRead More
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBARP O BOX: 146, Zanzibar- TanzaniaPhone: +255 773333167Website: http://www.suza.ac.tzEmail: vc@suza.ac.tz CALL FOR PROJECT RESEARCHERS CENSU Project – State University of Zanzibar (SUZA) The Climate Change, Energy, Sustainability: Transformations and Governance (CENSU) Project is a collaborative initiative between universities in Tanzania, Mozambique, and Norway. The project examines the sustainability and governance implicationsRead More
Addressing the Intersection of Security, Health, and Education New York University’s School of Global Public Health, School of Professional Studies, and Steinhardt School of Culture, Education, and Human Development in collaboration with UNICEF Tanzania and the State University of Zanzibar (SUZA) present: Course Description NYU is partnering with UNICEF Tanzania and SUZA to address climate-relatedRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinaendelea kujivunia mafanikio ya wataalamu wake, ambapo mtangazaji wa kipindi cha “Ifahamu Lugha Yako” kinachorushwa kupitia Radio Habari FM ya SUZA, ametunukiwa Tuzo ya Mtangazaji Chipukizi wa Vipindi vya Kiswahili Zanzibar. Tuzo hiyo imetolewa katika Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Duniani 2026 lililofanyika jijini Arusha, likiwakutanishaRead More
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) imekikabidhi rasmi Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar (ZIToD) kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (WUMK), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo, Kaimu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga, amesema uamuziRead More
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia masuala ya Fedha, Mipango na Utawala, Prof. Salum Seif Salum, amekutana na ujumbe wa mradi wa RES4CLIMA wenye lengo la kuokoa upotevu wa mazao ya matunda na mbogamboga kwa wakulima wadogo kisiwani Pemba. Ujumbe huo ulijumuisha wataalamu sita kutoka vyuo vikuu vyaRead More