Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinaendelea kujivunia mafanikio ya wataalamu wake, ambapo mtangazaji wa kipindi cha βIfahamu Lugha Yakoβ kinachorushwa kupitia Radio Habari FM ya SUZA, ametunukiwa Tuzo ya Mtangazaji Chipukizi wa Vipindi vya Kiswahili Zanzibar. Tuzo hiyo imetolewa katika Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Duniani 2026 lililofanyika jijini Arusha, likiwakutanishaRead More
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA) imekikabidhi rasmi Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar (ZIToD) kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (WUMK), hatua inayolenga kuimarisha sekta ya utalii nchini. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano hayo, Kaimu Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga, amesema uamuziRead More
The State University of Zanzibar (SUZA), in collaboration with Aarhus University and Roskilde University, is conducting the Zanzibar Circular Economy Workshop under the Building Stronger Universities Project IV (BSU IV) from 23rd to 27th March 2026 at the SUZA Institute of Tourism (IoT-SUZA). The workshop was officially launched by the Deputy Vice Chancellor (Planning, Finance and Administration), Prof. Salum Seif, who encouraged participantsRead More
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) anayeshughulikia masuala ya Fedha, Mipango na Utawala, Prof. Salum Seif Salum, amekutana na ujumbe wa mradi wa RES4CLIMA wenye lengo la kuokoa upotevu wa mazao ya matunda na mbogamboga kwa wakulima wadogo kisiwani Pemba. Ujumbe huo ulijumuisha wataalamu sita kutoka vyuo vikuu vyaRead More
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBARP O BOX: 146, Zanzibar- TanzaniaPhone: +255 773333167Website: http://www.suza.ac.tzEmail: vc@suza.ac.tz Catalyst for Social Changes CALL FOR PROJECT TEAM MEMBERSSAMAKI Project β State University of Zanzibar (SUZA) The SAMAKI project at the State University of Zanzibar (SUZA) invites applications from two (2) qualified and motivated individuals to join the project team. TheRead More
Today we celebrate the strength, resilience, and achievements of women around the world on International Women’s Day. As a university community, we recognize the vital role women play in education, research, innovation, and leadership. We remain committed to empowering women and girls through knowledge, equal opportunities, and inclusive learning environments. Let us continue to support,Read More