The State University Of Zanzibar

Previous Next Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) imeweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa chuo kutoka katika fani tofauti. Mafunzo ayo yataweza kuwasaidia wanafunzi hao katika kutatua changamoto mbali mbali katika jamii.
Read More
Previous Next Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) wakishirikiana pamoja na The People’s Bank of Zanzibar – (PBZ) katika uandaaji na ugawaji wa tunzo kwa wanafunzi bora kwa mwaka 2024. Ugawaji huo ulifanyika katika kampasi ya Utalii ya SUZA iliyopo Maruhubi Zanzibar
Read More