The State University Of Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya Nane imefanikiwa kutekeleza falsafa  ya R4 inayolenga Mageuzi ya Kiuchumi, Kielimu, na Kijamii kwa maendeleo endelevu ya wananchi wa Zanzibar. Akizungumza kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika Kongamano la Kitaaluma
Read More