The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar na Wakala wa Maabara na Mkemia Mkuu wamesaini Hati ya Mashirikiano ikiwa na lengo la kuimarisha mashirikiano ya Kitaaluma, Kitafiti hususan katika maeneo ya sayansi, maabara, ubadilishanaji wa maarifa, utaalamu na kiutendaji baina ya taasisi hizo mbili. Akizungumza wakati wa utiaji sani huo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Read More
Ujenzi wa jengo la Skuli ya Kilimo (Agriculture Building) na la Maabara (Laboratory Complex) wa mradi wa Elimu ya Juu kwa Mabadiliko ya Kiuchumi (HEET) umefikia asilimia 33 hadi mwezi huu wa tano. Taarifa hiyo imetolewa leo katika kikao cha tathmini ya ujenzi (Site Meeting) kimefanyika leo tarehe 28/05/2025 Makao makuu ya Chuo Tunguu. Aidha,
Read More