The State University Of Zanzibar

SUZASO YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAFUNZI

Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) imeweza kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa chuo kutoka katika fani tofauti. Mafunzo ayo yataweza kuwasaidia wanafunzi hao katika kutatua changamoto mbali mbali katika jamii.