The State University Of Zanzibar

SUZASO NA PBZ ZATOA TUNZO KWA WANAFUNZI BORA 2024

Serekali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar – (SUZASO) wakishirikiana pamoja na The People’s Bank of Zanzibar – (PBZ) katika uandaaji na ugawaji wa tunzo kwa wanafunzi bora kwa mwaka 2024. Ugawaji huo ulifanyika katika kampasi ya Utalii ya SUZA iliyopo Maruhubi Zanzibar