Hhini ya Mradii wa Youth Ignit unaosimamiwa na Starthub African unaofadhiliwa wa UNDP ambalo limeshirikisha vyuo 10 nchini Tanzania ikishirikisha jumla ya wanafunzi 30.
Mshindi wa kwanza ni mwanafunzi William Frank kutoka Skuli ya Kompyuta Mawasiliano na Masomo ya Habari akiwa na wazo la Kibenki Fintech inayosaidia wafanyakazi wa hali ya chini kupata sehemu ya mshahara wao wanapokuwa na dharura kabla ya mwisho wa mwezi na bila ya kuwa na riba yoyote.
Mshindi wa pili ni Kisuwa Ali Mussa kutoka Taasisi ya Utalii Maruhubii akiwa na wazo la
Ocean Mile: Organic Manure kwa kutumia marine resource (seaweed) inayoenda kutatua na kupunguza gharama za matumizi ya mbolea za kemikali kwa wakulima wadogo wa dogo na kupunguza madhara upatikanaji wa maradhi tofautii ikiwemo Kansa na thyroid yanayotokana na matumizi ya vyakula vinavyolimwa kwa kutumia zenye kemikali.
Na mshindi wa tatu ni Mwanafunzi Mathna Mohammed Mkubwa wa Skuli ya Kiswahili na Lugha za Kigeni (Nkrumah). Mwenye wazo la Ocean essence kutengeneza bidhaa za vyakula kupitia mmea wa mwani (Seaweed) zenye kutatuwa changamoto za kiafya kama High blood preasure, Gases na Cancer.
Hongereni sana wanafunzi