Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof Abdi Talib Abdlalla amekutana na wanafunzi kumi na watano (15) pamoja na wafanyakazi wanne (5) kwa lengo kwa kuwaaga kabla ya safari yao ya kwenda nchini Romania kushiriki katika programu ya kubadilishana uzoefu ya wiki mbili inayofadhiliwa na European Union kupitia programu ya ErasmusRead More
Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Abdi Talib Abdalla amesema taaluma ya Akili Unde kwa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA itasaidia wahadhiri kukuza na kurahisisha taaluma zao.Akifungua Warsha ya Mafunzo ya Taaluma ya Akili Unde iliyotayarishwa na Kituo cha Kimataifa cha Taaluma za Kiswahili na Uenezi (GCKSA) katika Skuli ya Kiswahili na LughaRead More