Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof Moh’d Makame Haji amehudhuria kikao cha Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kilichojadili Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha 2025/2026 iliyowasilishwa tarehe 27 Mei, 2025 katika Ukumbi wa Bunge, Dodoma kwaRead More
Dkt. Hashim Hamza Chande, ameonesha kutoridhishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji wa Idara ya Manunuzi na Ugavi kufuatia ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi chuoni. Dkt. Chande alitoa kauli hiyo baada ya kukagua baadhi ya maeneo ya Skuli ya Afya yaliyoonekana kutoendelezwa. Alielezwa kuwa ucheleweshaji huo unasababishwa na changamoto za manunuzi na urasimu wa kiutendaji.Read More