The State University Of Zanzibar

Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Hamad Hassan Chande amezindua mfumo wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) utakaokuwa na taarifa zao kuanzia mwaka 2002.Mhe.Chande ambaye ni msajiliwa namba moja wa mfumo huo, alifyatua kitufe kuashiria uzinduzi huo na taarifa zake kuonekana.Akitoa maelezo yanayohusu mfumo
Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amesema analishukuru Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kuwashirikisha kuwa sehemu ya kuchangia andiko la kuanzishwa kwa Kituo kikubwa cha Tafiti cha Jeshi hili.Hayo aliyasema katika makao makuu ya SUZA huko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja wakati akizungumza na ujumbe wa
Read More
Previous Next Naibu Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Hamad Hassan Chande ameonya tafiti zinazofanywa na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kufungiwa makabatini.Hayo aliyasema wakati akifungua kilele cha Wiki ya Juma la Convocation kilichofanyika katika ukumbi ya Taasisi ya Utalii, kampasi ya Chuo Kikuu Maruhubi tarehe
Read More
Previous Next Mwenyekiti wa Kamati ya Mkusanyiko Kitaalamu (Convocation) Mhe. Riziki Juma Pembe amezindua rasmi Kamati za Mkusanyiko huo zilizowashirikisha wajumbe 14 ambapo mwengine anatarajiwa kutajwa hivi karibuni.Akizungumza katika mkutano huo wa pili wa mwaka wa Mkusanyiko huo uliofanyika katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) ya Taasisi ya Utalii, Maruhubi tarehe 22/12/2024 alizitaja
Read More