Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewahimiza walimu kuzingatia uzalendo, uadilifu, na utii katika kazi zao ili kuboresha sekta ya elimu Zanzibar. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kitaaluma la kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo lililofanyika Maruhubi, Mkoa wa Mjini Unguja, Mhe. HarounRead More
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe. Sharif Ali Sharif ametoa wito kwa Taasisi za Elimu Zanzibar kuendeleza vipaji vya wanafunzi kuanzia maandalizi hadi sekondari. Alisema hatua hiyo itachangia kuwawezesha kuwa mahiri na wabunifu katika fani mbalimbali kulingana na mazingira wanayotokea. Akizungumza katika sherehe ya maadhimisho ya miaka 60 ya ElimuRead More
Maafisa Wakutubi kutoka Chuo Kikuu Cha Taifa cha Zanzibar wakitoa maelezo kwa washiriki walohudhuria Maadhimisho ya siku ya Kujua kusoma na kuandika yaliyofanyika tarhe 7-8 Septemba 2024 katika Ukumbi wa Idris AbdulwakiRead More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi za kitaaluma za kimataifa zinazoonesha dhamira ya kushirikiana na Zanzibar kuijengea uwezo wa kielimu katika nyanja mbalimbali. Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 13 Sept 2024 alipokutana na Mkuu wa Chuo kikuu cha Imperial cha UingerezaRead More
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Leila Muhammed Mussa, amesemateknolojia ya kisasa itaongeza kasi ya upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum nchini. Hayo aliyasema katika ufunguzi wa semina ya siku tatu iliyoanza leo tarehe 09/09/20024 katika Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) huko Maruhubi. Katika semina hiyo ya KuondoaRead More
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya kwanza kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa programu mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katikaRead More