Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimezindua rasmi maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo, yanayolenga kusherehekea safari ya mafanikio, kutathmini hatua za maendeleo zilizofikiwa na kuweka msingi wa maendeleo zaidi katika miaka ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano, Makao Makuu ya SUZA, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja,
Read More
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, amewataka wahitimu wa mafunzo ya kidijitali kupitia Mradi wa HEET kutumia ujuzi na maarifa waliyoyapata kama fursa ya kujiandaa na kukabiliana na mahitaji ya soko la ajira. Prof. Vuai ameyasema hayo Jumanne, tarehe 6 Oktoba 2026, wakati wa hafla ya
Read More