WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, amewasihi wahitimu na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuitumia fursa waliyonayo kubuni miradi itakayowawezesha kujiajiri badala ya kusubiri ajira kutoka serikalini. Nasaha hizo alizitoa wakati akizungumza kwenye Mkusanyiko wa Tatu wa Kitaaluma uliofanyika tarehe 13/12/2025 Taasisi ya Utalii katikaRead More
The Deputy Vice-Chancellor for Academic, Research and Consultancy (DVC–ARC) at the State University of Zanzibar, Prof. Abdi Talib Abdalla, convened his inaugural meeting with the University’s academic staff and laboratory support personnel following his recent appointment. The meeting was held on 11th December 2025 in the assembly hall of the Computing Building at the TunguuRead More