The State University Of Zanzibar

MKUU wa  Chuo  Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  (SUZA) Prof. Moh’d Makame Haji amezindua mfumo mpya wa masomo ya kimtandao  ‘Myloft – My Library  of Finger Print’  ambao utasaidia  upatikanaji wa taarifa za kimasomo   kwa njia rahisi. Alisema mfumo huo utachangia kuwawezesha wanafunzi na wafanyakazi kufanya kazi zao  hasa ikizingatiwa kuwa kumekuwa na ongezeko la wanafunzi...
Read More