The State University Of Zanzibar

Previous Next Chuo Cha Taifa Cha Utalii (NCT), imetia saini hati ya makubaliano ya mashirikiano kati yake na Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar lengo likiwa ni kushirikiana katika masuala mbalimbali ya kitaaluma katika fani za utalii na ukarimu. Hati hiyo ya makubaliano imekuja baada ya kuona juhudi kubwa zilizofanywa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Read More