Skip to main content

The State University Of Zanzibar

16 Septemba 2026 | Oradea, Romania Ujumbe wa viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) unaoongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Said Ali Hamad Vuai, umefanya ziara ya kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Oradea, Romania, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, kubadilishana uzoefu na kujifunza mifumo bora ya
Read More
16 Septemba 2026 | Oradea, Romania Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Said Ali Hamad Vuai, leo ametembelea Skuli ya Uhandisi na Skuli ya Sayansi za Jamii katika Chuo Kikuu cha Oradea, Romania, ikiwa ni sehemu ya ziara za kitaaluma na kujifunza mifumo ya uendeshaji wa taasisi za elimu ya
Read More
TAARIFA YA KUONGEZEKA KWA NAFASI ZA UDAHILI DIRISHA LA PILI 2026 202 (1)Download
Read More
ANNOUNCEMENT STUDENT MOBILITY PROGRAMMEDownload
Read More