The State University Of Zanzibar

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof. Abdi Talib Abdlalla amepokea ugeni kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) kwa kufanya mazunguzo ya Kitaaluma. Ugeni huo ulioongozwa na Kaimu Naibu Mkuu wa Taasisi ya Taaluma, Utafiti, Ubunifu na Ushauri Elekezi Dkt. Zuhura Juma Ali pamoja na Mkuu wa Divisheni
Read More