The State University Of Zanzibar

Wanafunzi wa kada ya Maabara wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wameshiriki Kongamano la Kumi na Moja (11) la Jumuiya ya Wanafunzi wa Maabara Tanzania (TAMELASA). Kongamano hilo limefanyika tarehe 16/05/2026 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere uliopo Dar es Salaam. Akihutubia Kongamano
Read More