The State University Of Zanzibar

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar umepokea wasilisho la michoro ya awali ya miundombinu mbalimbali inayotarajiwa kujengwa kupitia mradi wa BADEA kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutoka kwa mshauri elekezi Y&P Architects Co. Ltd.Miongoni mwa miundombinu hiyo ni Jengo la Utawala, Jengo la Skuli ya Elimu na Lugha, jengo la Huduma
Read More