The State University Of Zanzibar

Makamo Mkuu wa Chuo Cha taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amesema Chuo kimeanzisha program mpya ya Shahada ya Tabibu Kinywa na Meno (Bachelor of Science in Doctor of Dental Surgery) ambapo kwa mara ya kwanza wahitimu watano wametunuliwa Shahada zao. Akitoa salamu zake katika Mahafali ya 20 yaliyofanyika katika makao makuu ya
Read More
Wengi wanaifunga safari ya kutafuta elimu wakipitia changamoto mbali mbali kukamilisha ndoto zao, lakini si wote wanaobahatika kufikia daraja ya kuwawezesha kupewa heshima kubwa katika tasnia hiyo.Kauli hii inatufungulia ukurasa mpya wa wasifu wa maisha ya Mwalimu Haroun Ali Suleiman (71) katika sekta ya elimu uliomfungulia milango ya uongozi na uwajibikajika katika kazi hadi kufikia
Read More